amreezle

amreezle

Thursday, September 22, 2011

.
Tuesday, September 20, 2011
BEYONCE....KUTUMIA $ MIL 1 KWA UJAUZITO....!

BEYONCÉ GISELLE KNOWLES - MRS JIGGA

Za Chini ya Carpet zinadai kuwa Artist Beyoncé na husband wake,Rapper Jay-Z wana mpangoi wa kutumia zaidi dola milioni 1 kwa ajili ya mtoto wao mtarajiwa kabla ya aka Queen B hajajifungua

JIGGA vs QUEEN B

Bajeti hiyo ni kwa ajili ya afya ya Queen B ikiwemo misosi ya kujenga mwili,kufanyiwa massage kila siku na utitiri wa lotion kwa ajili kuiweka afya ya ngozi yake iwe fiti huku Jay Z aka Jigga akihakikisha vitu vyote vinafanyika kama vilivyopangwa,coz Beyoncé alisubiri kwa hamu muda mrefu sana kupata mtoto

Posted by BIGMAN KIM at Tuesday, September 20, 2011 0 comments

SNOOP DOGG....APATA SHAVU LA MOVIE...!

CALVIN CORDOZAR BRODAUS JR - SNOOP DOGG

Calvin Cordozar Broadus Jr. aka Rapper Snoop Dogg amepata shavu kama lead-role kwenye movie itakayoitwa The Legend of Fillmore Slim

Movie hiyo ilitengenzwa miaka ya 60 iliyomuhusu,Clarence Sims iliyoitwa Life of Fillmore Slim,mwenye miaka 77 sasa na shavu hilo kwa Snoop Dogg linafuatia mashavu ya kwenye movie za Training Day na Starsky & Hutch na hi ya The Legend of Fillmore Slim, Snoop Dogg atakua starring kwa mara ya kwanza na utengenezaji wa movie ya The Legend of Fillmore Slim utaanza mwezi March,2012

Posted by BIGMAN KIM at Tuesday, September 20, 2011 0 comments

SEAN KINGSTON....CHUPU CHUPU....UGANDA....!

KISEAN ANDERSON - SEAN KINGSTON

Baada ya kufanya bonge la performance pande za Lugogo cricket oval,Sean Kingston alishuka kwenye stage na kuitwa tena na MC of the night,Dave Kazoora na Kazoora kuanza kumfagilia Sean Kingston kwa show kali ya nguvu....lakini alifunguka zaidi kwa kuomba saa yake na kudai kuwa international artist yoyote anayekuja Uganda,huwa wanabadilishana vitu coz alivyokuja R Kelly hajakuwepo na kwa sasa itabidi arekebishe

Sean Kingston kwanza alishangaa mwisho wa siku akavua saa kumpa MC na yeye kuvaa ya MC na kushuka kwenye stage

....AKIVUA SAA KWA MC KAZOORA....!

Lakini Backstage,Sean Kingston alikomaa kudai saa yake kwa waandaaji akidai kuwa MC alimdanganya eti International artist wote wakija hubadilishana vitu na wao na pia kwa kua alikua mbele ya fans wake asingeweza kukataa na mwisho wa siku ilibidi MC Kazoora kurudisha saa ya Sean Kingston kabla hajaondoka Uganda fna baadaye MC Kazoora alitupia kwenye Facebook account akifunguka ilikua ni utani tu na wala yeye si tapeli na wala siyo njia nzuri ya kuomba vitu na wala asionekane wa ajabu

Posted by BIGMAN KIM at Tuesday, September 20, 2011 0 comments

JOSE CHAMELEONE....KUPIGA SHOW KENYA...!

JOSEPH MAYANJA AKA CHAMELEONE

Jose Chameleone amepata shavu la kupiga show nchini Kenya,kwenye hafla za 3 za Nairobi Marketers night Out – 2011 zinazotarajiwa kufanyika jijini Nairobi,Ijumaa ya tarehe 30 September 2011 pande za Safari Park Hotel & Casino na show ya Chameleone imehisaniwa na The Vision Group of Uganda

Posted by BIGMAN KIM at Tuesday, September 20, 2011 0 comments

....KANYE WEST....R.I.P....BLACK EYED PEAS...!

KANYE OMARI WEST

Rapper Kanye West alizingua wakati anapiga show kwenye Tamsha la Austin City Limits Music Festival jijini Texas-Marekani,na kutamka maneno ya Rest In Peace popular rap group,Black Eyed Peas aka BEP baada ya kusamba kwa rumours kuwa will.i.am na wenzake huenda wakatengana Kanye alimaliza show kwa kupiga single ya All of the Lights na kuimba verse ya Fergie wa BEP na baadaye kusema "Rest in peace to the Black Eyed Peas.You're gonna be missed!"


No comments:

Post a Comment