SPEAK WITH YA BODY VIDEO yala mashavu TRACE.
Ile video inayosumbua jijini ya mtu mzima AY akiwa amewashirikisha wasanii wa nje kama Lamyia & Romeo "SPEAK WITH YA BODY" kwa sasa utakua unaiona mara kwa mara katika stesheni ya TRACE kwa wale wenzangu na mie tunaotumia DStv. Mbali na Trace AY amesema pia itakuwa inaonekana katika stesheni ya BET na imekula shavu katika kipindi kinachorushwa na BET kinachoitwa 106 Park. Hii itakuwa mara ya kwanza kwa msanii kutoka East Africa kupata shavu kama hili. Keep it up bro
No comments:
Post a Comment